.able

Kutoka Swahili ICANNWiki
Rukia: urambazaji, tafuta

.able ni jina la TLD (Top level domain) katika programu mpya ya ICANN gTLD. Kampuni ya Able inc. ndio kampuni pekee iliyo omba nafasi huo. Kwa sasa hao ndio wanaosimamia TLD.

Reference[hariri | hariri chanzo]

https://icannwiki.org/.able