.aero

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

.aero ni sTLD (top level domain), ambayo imefadhiliwa na kampuni ya Sita yenye ilikuwa ya kwanza duninai kufadhiliwa TLD kwa ajili ya sekta moja. TLD ni ya kipekee kwa ajili ya matumizi na wanachama wa sekta ya anga na jamii. TLD ilitolewa kwa ajili ya usajili wa mwaka 2008

Reference[edit | edit source]

About .aero Retrieved 09 Oct 2013