.africa

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

.africa ni jina jipya la juu la utambulisho mtandao Generic Top Level Domains (gTLD) kwa ajili ya kukuza utambulisho wa Afrika. (kibiashara, watubinafsi na utamaduni) kwenye mtandao. Baada ya miaka mingi ya madai, .africa ilikabidhiwa kwa eneo mjukuu tarehe Februari 17, 2017.

Reference[edit | edit source]

.AFRICA Delegation. Retrieved 17 Feb 2017