.deal

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

.deal ni pendekezo jipya la TLD(top level domain) katika programu mpya ya ICANN gTLD . Makampuni ya Amazon na Uniregistry yaliomba jina, Amazon ilifanikiwa katika mchakato wa maombi. Kwa wakati huu, Amazon inasimamia TLD.

=Reference[edit | edit source]

Uniregistry Corp. applies for 54 new top-level domains...