ANA

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Association of national Adverisers inc (ANA) ni shirika konge lisilo la kibiashara linalowakilisha masoko na matangazo ya Jamii, Marekani.Awali lilitengenizwa na jumla ya makampuni 45,ANA kwa sasa inajumuisha jumla ya makampuni 400 yanayoongoza kwenye masoko na matangazo,yakifanya kazi na jumla ya shirika ya bidhaa yapatayo 10,000.

huduma zinazotolewa na chama hiki ni pamoja na uongozi wa wabunge, rasilimali za habari, maendeleo ya kitaaluma, na ufahamu wa kibiashara wa kutumia mtandao, pia huchukua jukumu la kuandaa mikutano na vikao vya usimamizi.

ANA & ICANN

baadhi ya wanachama wa ANA,wakijumuisha HP,P&G,General Motors,wal-Mart,adobe,Posrche,vodafone na puma wamekuwa wakipinga toleo jipya la program ya gTLD iliyopendekezwa na ICANN. walihisi kuwa kinyume cha HP na P&G sio kwasababu yalianza ila kwasababu hawakuweza kuomba .hp au .pg sababu ICANN ina sheria za mazuio kwenye herufi mbili TLDs kwa BRAND NAMES.

marejesho[edit | edit source]

ICANNWIKI-ANA