Amazon

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

AMAZON ONLINE MARKETING

AMAZON Ni Moja ya kampuni kubwa duniani inayojihusisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali kwa njia ya mtandao duniani kote . tovuti ya amazon ni maarufu sana kwa ajili ya uuzaji wake wa vitabu mbalimbali, ingawa tovuti hii pia ina wigo mpana wa kuuza vifaa vya umeme, muziki , samani, na mavazi. Kama ilivyo kwenye eBay , watumiaji wanaweza pia kununua na kuuza vitu kwa kutumia soko la mtandaoni la mfumo wa Amazon.

HISTORIA

Amazon ilianzishwa mwaka 1995 na Jeff Bezos na makao yake makuu yanapatikana katika jiji la Washington nchini marekani.

NAMNA BIASHARA INAVYOFANYIKA

Kwa kutumia huu mfumo wa Amazon unaweza kuuza ama kununua bidhaa yoyote ile kutoka sehemu yoyote ile duniani. Kuna baadhi ya bidhaa humfikia mteja mahali alipo bila malipo yoyote ya kusafilisha bidhaa. Pia kama bidaa itaonekana haina ubora stahiki hurudishwa tena ktika kampuni husika na kupewa bidhaa nyingine.

Reference[edit | edit source]

Amazon