Buni hub

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Tovuti:buni.or.tz

Buni ni kitovu cha teknolojia kinachokuza ubunifu wa kiteknoliojia na ufanyabiara wa kiteknolojia kupitia kuboresha ujuzi,program ya ushauri na kuwezesha jamii. Imegunduliwa mwaka 2011, Buni inalenga zidi kwenye ugunduzi na kuboresha wa muongozo kwa vijana wenye ubunifu wa kiteknolojia na suluhisho kwa matatizo yanayoikumba Tanzania.

Buni ni kitovu cha kwanza chenye nafasi ya ugunduzi kuanzishwa Tanzania. Makazi yake makuu ni Dar es Salaam Buni inasifika kwa kuweka record ya kuboresha na muongozo wa baadhi ya program bora za mwanzo Tanzania kama vile Soka App, Agrinfo, Time-Tickets na nyinginezo.

Buni hutoa nafasi ya senta ya biashara kuajiriwa kwa ujuzi na ubunifu kwa vijana walioamua kujitofautisha na wafanyakazi wa kawaida au wafanyabiashara wanaotamani kuwa tofauti na wafanyabiashara wa kawaida wenye ujuzi kidogo au hawana mpangilio wa biashara au ujuzi wa maendeleo. Buni inachaangia na ujuzi wa jamii ya Ndani na mazingira inasaidiwa na program 4

  1. Buni Program ya mafunzo
  2. Buni program ya ushauri (Pre-Incubation Program)
  3. Buni Program ya jamii
  4. Buni maabara ya utungo