CSK

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Computer Society of Kenya (CSK) ni muungano unaotambulika kwa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, viwanda na wataalamu katika Kenya.
Muungano huu huvutia uanachama mkubwa na kazi kutoka ngazi zote za sekta ya IT.
Muungano huu hutoa huduma mbalimbali kwa zaidi ya watu 6,000.
Daktari Waudo Siganga –Ph.D, ndiye mwenyekiti wa muungano huu. Dkt . Waudo pia aliweza kuchaguliwa kama Makamu wa Rais wa WITSA Afrika.
Kulingana na wito wao unaosema “Nuntius Pro Omunis” kumaanisha ujumbe kwa wote, CSK imejitolea kufanikisha uwasilishaji wa ujumbe na teknolojia.