CcNSO

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Country Code Names Supporting Organization (ccNSO)ccNSO ni mojawapo wa mashirika matatu ndani ya ICANN yanayosaidia katika shughuli zinazohusu usajili wa majina ya ngazi ya juu mtandaoni ya nchi Country Code Top-Level Domain. ccNSO ina jukumu la kuunda sera zinazohusiana na Country Code Top-Level Domain, na vile vile kutoa mapendekezo kw bodi ya ICANN. Waendeshaji wa Country Code Top-Level Domain pekee ndio wanaoweza kuwa wanachama wa ccNSO.

References[edit | edit source]

ccnso.icann.org