EAIGF

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

EAIGF (East Africa IGF)
EAGF ni uga unaolenga kutoa ufahamu, maelewano ili kuwezesha uwepo wa mtanzamo mmoja wa utawala wa mtandao Afrika mashariki, na vile vile kujenga uwezo wa kukuza hali ya kushiriki kwenye mijadala ya mtandao, utawala na sera.
Bi. Alice Munyua ndiye mwenyekiti wa kamati andalizi ya EAIGF. Kwa kawaida, kila nchi inayoandaa EAIGF inapewa jukumu kikamilifu kuhakikisha mipango ya kongamano inaenda sambamba.

Kongamano la EAIGF la 2008 liliendeshwa na KICTANET, la 2009 (KENIC na KICTANET), 2010 (CIPESA na I-Network Uganda).