FBI (Federal Bureau of Investigation)

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Federal Bureau of Investigation (FBI) ni idara ya ndani ya ujasusi na usalama ya Marekani ambayo inahudumu kama shurika la kudumisha sheria. Inahudumu kwa uelekezi wa idara ya haki.