Google

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

ni kampuni ya kimataifa inayotoa huduma za utafutaji,utangazaji,huduma za cloud computingna huduma mbalimbali zinazosaidia kutoa ufumbuzi wa kibiashara.dhima ya kampuni hii ni kukusanya taarifa mbalimbali za ulimwengu na kufanya ziwe zinatumika na kupatikana kwa urahisi.Kampuni ya Google inashika nafasi ya 4 kati ya 100 kwa ubora duniani katika mwaka 2011.fortune.com/best-companies

Historia ya Kampuni

katika mwaka 1996,Larry Page na Sergey Brin,wote wakiwa wamemaliza chuo kikuu cha Stanford waliungana na kuanza kutengeneza injini ya utafiti wa kurasa za tovuti iliyoitwa BACKRUB. injini hii ya utafiti ilifanya kazi karibu mwaka mmoja katika server za Stanford mpaka ilipoonekana inatumia gharama kubwa kuendeshwa na chuo.

1997, injini hii ya utafutaji ilibadilishwa jina na kuitwa Google, neno lililotokana neno la kihesabu "googol" likiwa na maana ya tarakimu 1 ikifuatiwa na sifuri 100.

katika 1998, Google ilisimikwa rami Califonia, nakampuni kuanza kufajiendesha kibiashara.


ICANN na GOOGLE

Google inakibali cha usajili cha ICANN inayomiliki majina saba ya TLD ambayo ni .com,.net,.org,.ingo,.name na .pro.

marejesho[edit | edit source]

1.fortune 2. ICANN-Google