ICANN Fellow

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Washirika wa ICANN. Huyu ni mshirika yeyote wa ICANN ambaye yuko tayari kuwa mmomoja wa watu wanaofuatilia, kujifunza na kuchangia mawazo yao katika kukuza na kueneza Sera za ICANN. Vigezo na mwongozo wa kuwa ICANN Fellow(Mshiriki wa ICANN) ni pamoja na -kuhudhuria mkutano wa umma wa ICANN Mara tatu kwa mwaka, ICANN ina mkutano wa umma huru na wazi katika mikoa tofauti duniani kote. tembelea meeetings.icann.org ili ujifunze zaidi. -pata kozi ya bure ya mtandaoni

Marejeo[edit | edit source]

ICANN