IEEE

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

IEEE(institute of Electrical and Electronics Engineers) ni taasisi inayojiusisha umeme pamoja na vifaa vya ki-electroniki na limesajiliwa kisheria. Lilanzishwa mnamo mwaka 1963 kutokea taasisi ya wahandisi wa umeme marekani(American Institute of Electrical Engineers) pamoja na taasisi ya wahandisi wa redio( Institute of Radio Engineers). Makao makuu yake yapo nchini marekani katika jiji la New York. Wanachama wake wengi ni wahandisi na wanasayansi. Washirika wanachama ni wataalamu wa kompyuta, wabunifu wa mifumo, wataalamu wa mawasiliano na madaktari.

IEEE walitijolea katika kukuza teknologia na kufanya tafiti za kisayansi. Ina wanachama zaidi ya 430,000 kati ya nchi 160 na ni pungufu ya wanachama waliopo nchini marekani.

IEEE wanautaratibu wa kutoa tuzo kwa wale watakoafanya vizuri katika kukuza teknologia na uanzilishi wa mambo mapya pia. Zaidi ya karne sasa tuzo zitolewazo na IEEE zimesaidia sana katika kukuza na kuwaendeleza kimaisha wale waliochangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji wa teknologia.


reference[edit | edit source]

(PDF). IEEE. Retrieved December 7, 2010., section 1.3 Technical activities objectives
IEEE. December 31, 2010. Retrieved August 14, 2013.