IGF

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Internet Governance Forum (IGF), ni mojawapo wa matokeo ya kongamano la WSIS liloazimia kuanzisha kongamano la kimataifa la utawala wa mtandao (IGF), ili kuwezesha washika dau kuchangia kwenye mazingira ambayo yataratibu uundaji wa sera za umma.
Kongamano la kwanza la IGF liliandaliwa Athens, Ugiriki (2006), kongamano la pili (Rio de Janeiro, Brazil-2007), kongamano la tatu (Hyderabad, India-2008), kongamano la nne (Sharm el Sheikh, Misri-2009), Kongamano la tano (Vilnius,Lithuania-2010), sita (Nairobi, Kenya-2011), saba (Baku, Azerbaija-2012), nane (Bali, Indonesia -2013), tisa (Istanbul, Uturuki -2014), kumi (Joao Pessoa, Brazil -2015) kumi na moja (Guadalajara, Mexico - 2016), kumi na mbili (Geneva, Switzerland - 2017). Mwaka huu (2018), kongamano hili litaandaliwa jijini Paris, Ufaransa.

Reference[edit | edit source]

https://www.intgovforum.org