IPv6

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Internet Protocol version 6 (IPv6)[edit | edit source]

IPv6 inatumia anwani yenye nafasi ya biti 128. IPv6 ina anwani trilioni 340 (340 x 10 ^36).
Ili kuweza kuelewa kiundani, ulimwengu wa sayari una nyota bilioni, ilhali IPv6 ina anwani trilioni, na trilioni. Hii ina maana kuwa anwani za IPv6 ni nyingi sana kushinda nyota zilizopo kwenye sayari.
Mzunguko wa dunia kwa jua ni mkubwa kiasi kwamba unaweza kubeba dunia zingine 3,262.
Hii ina maana inaweza kuchukua dunia nyingine trilioni 21,587,961,064,546 (kama hii tuliyomo) kuweza kumaliza kabisa anwani zote za IPv6.

References[edit | edit source]

ICANN