ISP

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

ISP/Mtoa huduma ya intaneti ni kampuni ambayo hutoa huduma ya mtandao ikiwa pamoja na upatikanaji wa huduma ya internet kwa ajili ya mtu binafsi au biashara.
Ili kulipa ada kila mwezi mtoa huduma kwa kawaida hutoa mfuko wa programu (program package), jina,nenosiri na namba ya simu inayopatikana.

Kwa kawaida huduma za intaneti zitolewazo na ISP ni pamoja na upatikanaji wa intaneti, nyia ya mtandao(internet transit), kusajili jina la domain(uwanja), kuunganisha tovuti kwenye internet na mpangilio.

Kama kuna modem unaweza kuingia kwenye mtandao na kuvinjari mtandao wa dunia nzima na USENET na pia kutuma na kupokea barua pepe.

Ili kupata mtandao wenye kasi unatakiwa kupewa modem yenye kasi au kulipia bili kila mwezi kifaa hiki ambacho kimeunganishwa kwenye bili ya akaunti yako ya ISP.

Mbali na kuwahudumia watu binafsi, ISP pia inatoa huduma kwenye makampuni makubwa, inatoa muunganiko wa moja kwa moja kutoa kwenye mitandao ya kampuni mpaka intaneti.
NAPS inatumika kuunganisha ISP moja na ISP nyiingine. ISP pia inaweza kuitwa Internet Access Provider (IAP).

Marejeo:[edit | edit source]

1. http://www.webopedia.com/TERM/I/ISP.html
2. Clarke, Roger. "Origins and Nature of the Internet in Australia