KENIC

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

KENIC[edit | edit source]

KENIC(Kenya Network Information Centre) ilianzishwa kupitia huduma ya CCK(Communication Corporation Of Kenya). KeNIC imepewa wadhi wa usimamizi na utawala wa jina ya kiwango cha juu cha dot ke(.ke ccTLD). Katika mwaka wa 1993, dotKE ilitumwa na Jon Postel, mwaanzilishi wa mtandao kwa:

Mtawala wa hatua ya kuwasiliana(Dkt. Shem Ochuodho) Fundi wa hatua ya kuwasiliana (Randy Bush)

Historia ya Dot KE ccTLD[edit | edit source]

Dr. Ochuodho na Randy Bush (Makerani) walifanya huduma ya kujitolea.  Mnamo mwaka wa 2002/2003, dot KE ilitumwa tena na Internet Corporation for the Assigned Names and Numbers (ICANN) kwa:

KENIC: kama mtawala wa hatua ya kuwasiliana KENIC: kama fundi wa hatua ya kuwasiliana

Mantiki ya kutumana[edit | edit source]

Kwa muda, usimamizi na utawala wa jina ya kiwango cha juu kwa msingi wa kujitolea ukakuwa hauwezekani. Hivyo basi haja ya kutuma usimamizi wa dotKE kwa shirka la washikadau mbalimbali waliotolewa katika sekta ya umma, ya kiraia na ya kibinafsi na isiyo yenye kusaka faida(KENIC). Ujumbe wa bodi ya KeNIC Wajumbe wa bodi wametolewa katika serikali, sekta ya binafsi, wasomi, jamii ya kiraia and mwanzilishi mtawala wa hatua ya kuwasiliana(Dkt. Shem Ochuodho).

Marejeo[edit | edit source]

1. https://en.wikipedia.org/wiki/KeNIC. Wikipedia. Rudishwa 2016-09-16.