MAG (Multi-stakeholder Advisory Group)

Kutoka Swahili ICANNWiki
Rukia: urambazaji, tafuta

MAG (Multi-stakeholder Advisory Group)
Ni jopo linalowajibika kuandaa kongamano la IGF kila mwaka. Kando na kongamano kuu la IGF, kuna makongamano ya kitaifa (local IGF), kimaeneo (regional IGF) mfano East Africa IGF, West Africa IGF, Southern Africa IGF, na Africa IGF.