MOOCS (Massive Open Online Courses)

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

(Massive Open Online Courses)MOOCS ni kozi huria za mtandaoni zinalenga washiriki wengi. Kando na kozi za kawaida, kozi hizi zinajumuisha video kutoa masomo kwa washiriki.