Changes

Jump to: navigation, search

Web cam

439 bytes added, 4 years ago
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'webcam ni kamera ya video inayo ingiza picha au video katika muda halisi punde unapotumia kwa njia ya kompyuta au kwa kutumia mtandao wa kompyuta. Pindi upigap...'
webcam ni kamera ya video inayo ingiza picha au video katika muda halisi punde unapotumia kwa njia ya kompyuta au kwa kutumia mtandao wa kompyuta. Pindi upigapo picha au kuchukua video kwa kutumia kompyuta, video au video vinahifadhiwa moja kwa moja na vinaweza kutazamwa au kutumwa kwenye mitandao mingine kupitia mifumo kama vile mtandao, na barua pepe kama kiambatanishi.

==Reference==
[https://en.wikipedia.org/wiki/Webcam Wikipedia]
3
edits

Navigation menu