Changes

Jump to: navigation, search

Root Servers

603 bytes added, 3 years ago
Maelezo ya Root Server
'''Root Servers'''<br />
Kuna root sava 13 ambazo zimesambazwa kote duniani: 10 Marekani, 1 Sweden, 1 Uholalnzi, na nyingine Japani; kwa 10 zilizopo Marekani, nyingo yazo zinaendeshwa na mashirika ya serikali.<br />

Ikatokea kwamba sava moja kagoma, zile 12 zitaendelea kufanya kazi. Hata kama zote zingegoma (jambo ambali si rahisi kutokea), usuluhishaji wa {domains names} kwa anwani za IP unaweza kuendelea kwenye sava zingine zilizosambazwa kwenye ngazi zingine kwenye mtandao. mamia ya {domain name servers} zina nakala ya faili ya root zone na madhara yoyote hayawezi kutokea vyovyote vile.<br />

Navigation menu