Changes

Jump to: navigation, search

MARY UDUMA

1,157 bytes added, 3 years ago
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mary Uduma kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa Jaeno Digital solutions. kabla ya hapa, alitumikia cheo cha urahisi wa bodi ya utendaji wa Nigeria Internet Registrati...'
Mary Uduma kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa Jaeno Digital solutions. kabla ya hapa, alitumikia cheo cha urahisi wa bodi ya utendaji wa Nigeria Internet Registration Association(NiRA),ambapo alipata cheo cha urahisi mnamo mwezi wa tisa 2010, baada ya kutumikia cheo cha makamu wa rahisi tangu 2009.
Pia aliwahi kuwa mmoja wa wanachama wa bodi ya muda mfupi ya wadhamini ya NiRA, na pia kama mkurugenzi wa ofisi ya masuala ya walaji pamoja na Nigerian Communications Commission,ambalo ni shirika la udhibiti wa telecom Nigeria. Amefanya kazi katika ofisi ya mamlaka ya udhibiti kwa zaidi ya miaka 16 na pia ni mhasibu mwenye ujuzi. Kipindi chake akiwa NiRA, Uduma alikua anjihusisha na kanuni za mawasiliano ya simu. Aliishauri tume juu ya masuala yanayohusiana na leseni,sera na ushindani wa soko la mawasiliano ya simu, kanuni za ushuru na vibali. Pia aliwahakikishia walaji kufuata na kusimamia kanuni za matumizi ya masuala ya mazoezi. Na kazi yake pia ilitazama juu ya utaratibu wa kanda, kupanga mipango na utafiti.pia alikua mtu wa cheo cha juu katika uhusiano wa kimataifa katika mashirika ya ITU, ICANN, CTO, AUC, ECOWAS,n.k. Pia ni mwanachama wa WSIS.
42
edits

Navigation menu