Changes

Jump to: navigation, search

Msichana wa mtandao

4 bytes added, 3 years ago
no edit summary
ningependa kutoa ufupi wa vitu ambavyo ni vidogo sana lakini vinachangia sana kwenye maendeleo binafsi ya mtu, vitu ambavyo mimi navifanya kila siku sio kwa sababu nimechukua masomo ya tehama, kwa sababu kila mtu anaweza kufanya na haijalishi kama ni mtaalamu wa masomo ya tehama au la.haya yote nayafanya kwa kutumia mtandao.
nikiamka hasubuhi kwa kutumia simu yangu nakutanda nakutana na ratiba yangu ya mambo niliyotarajia kufanya siku hiyo, pia inanitumia email barua pepe ambayo ina habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa. hivi ni vitu vichache tu ambavyo vinategemea mtandao kwa muda wa hasubuhi tu.
moja ya vitu muhimu katika maisha ni kwenda na muda, fanya kitu sahihi kwa muda sahihi na hapo ndipo mwanzo wa maendeleo.
imetolewa na Zuhura Msisi tarehe 2/7/2017
42
edits

Navigation menu