Changes

Jump to: navigation, search
Maelezo ya YCIG
'''YCIG (The Youth Coalition on Internet Governance)'''

[https://ycigweb.wordpress.com YCIG] ilianzishwa kutetea sauti ya watoto, chipukizi, na vijana kwenye mijadala ya utawala wa mtandao, haswa kwenye kongamano linaloandaliwa kila mwaka la IGF (Internet Governance Forum.

YCIG ni uga ulio wazi kwa chipukizi na vijana wote waliopo chini ya miaka 30 ambao wanavutiwa na maswala ibuka ya utawala wa mtandao.

YCIG imeweza kuwahimiza wazungumzaji kwenye kongamano la IGF kuwashirikisha vijana kama wazungumzaji kwenye mijadala.

Pia imeweza kutoa maoni bayana kwenye uga wa ufungaji wa kongamano la IGF.

Kama mshirika msajiliwa wa IGF, YCIG hutengewa nafasi kwenye kila kongamano la IGF kuwaunganisha vijana kutoka sehemu mbali mbali kushiriki kwenye mijadala, utoaji maoni, na uimarishaji wa sauti za vijana kwenye utawala wa mtandao.

Shughuli za YCIG zinaendeshwa kupitia orodha pepe (mailing list).

Navigation menu