Changes

Jump to: navigation, search
Kuhusu WSIS
'''WSIS (Word Summit on the Information Society)'''

[http://www.itu.int/net/wsis WSIS] (2003–2005) ni Kongamano lilofanyika kwa awamu mbili - Geneva (2003) na Tunis (2005).

Ni kwenye kongamano la WSIS (2003) ambako mjadala wa maana halisi na umuhimu wa utawala wa mtando uliibuka. Baada ya mijadala mirefu na harakati nyingi, washika dau walikubaliana kuunda kikundi tendakazi cha utawala wa mtandao ( Working Group on Internet Governance (WGIG)).

WGIG iliandaa taarifa ambayo ilikuwa msingi wa mazungumzo kwenye kongamano la pili la WSIS lilofanyika Tunis (Novemba 2005).

Kongamano la WSIS la Tunis liliweka wazi swala la maana ya utawala wa mtandao, likaorodhesha maswala ya utawala wa mtandao, na kubuni kongamano la utawala wa mtandao {Internet Governance Forum (IGF)}, kitengo cha washika dau kilichoundwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa { UN Secretary General} – Koffi Annan

Navigation menu