Changes

Jump to: navigation, search

.rw (dotRW)

961 bytes added, 3 years ago
/ * .rw * /
===dotRW(.rw) ===
.rw ni ni jila la usajili la ngazi ya juu mtandaoni kwa nchi ya Rwanda<br />
.rw ilianzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1996.<br />

===Kiwango cha pili cha majina===.

Kando na kusajili jina la .rw moja kwa moja, [[RICTA]], kupitia wasajili waliotambulika, inatoa usajili wa ngazi ya pili.<br />

* .rw kwa jina lolote mtandaoni
* .co.rw Kwa mashirika ya kibiashara
* org.rw Kwa mashirika yasiyo ya kifaida
* .et.rw Wanaotoa huduma za mitandao
* .ac.rw Kwa Mashirika ya kimasomo (lazima kibali kitoke kwa Idara ya elimu ya au bodi ya elimu ya Rwanda)
* .gov.rw Mashirka na idara za serikali. Kibali lazima kitoke kwa afisi ya rais.
* .mil.rw Idara ua ulinzi ya Rwanda (RDF)
* .coop.rw Mashirika nchini Rwanda. Kibali lazima kitoke idara ya mashirika ya Rwanda
* .ltd.rw Kwa makampuni nchini Rwanda. Kibali lazima kitoke kwa Rwanda Development Board (RDB)

===References===
[[ricta.org.rw/|Rwanda Information & Communication Technology Association]]

Navigation menu