Changes

Jump to: navigation, search

Portal:Internet Governance

26 bytes added, 3 years ago
no edit summary
Hata hivyo, maelezo haya hayajaweza kutatua swala la jinsi magwiji wengi wanavyochukulia mtazamo wa utawala wa mtandao (IG).

Mfano, magwiji wa teknohama wanachukulia utawala wa mtandao ('''IG''') kwa mtazamo wa utengenezaji wa viwango (standards) na vitumizi (applications) kama vile Java au '''XML'''.

Kwa upande wao, wanamawasiliano wanachukulia IG kwa mtazamo wa kufanikisha mawasiliano.

Vile vile, wanasiasa kote duniani wana mtawamo unaogemea malengo yao kwa wapiga kura, mfano kompyuta zaidi = elimu zaidi, na usalama mtandaoni.

Wakatio huo huo, mabalozi wanajali sana ulindaji wa malengo ya mataifa yao Kwa mukhtasari, kila mwamba ngozi kwenye utawala wa mtandao ('''IG''') anajaribu kuvutia kwake

'''WSIS'''

Kongamano la {'''[http://www.itu.int/net/wsis/ WSIS]'''}, lilofanyika lilifanyika kwa awamu mbili - Geneva (2003) na Tunis (2005).

Ni kwenye kongamano la WSIS (2003) ambako mjadala wa maana halisi na umuhimu wa utawala wa mtando uliibuka.

Baada ya mijadala mirefu na harakati nyingi, washika dau walikubaliana kuunda kikundi tendakazi cha utawala wa mtandao { Working Group on Internet Governance ('''WGIG''')}
. '''WGIG ''' iliandaa taarifa ambayo ilikuwa msingi wa mazungumzo kwenye kongamano la pili la WSIS lilofanyika Tunis (Novemba 2005).

Kongamano la '''WSIS ''' la Tunis liliweka bayana swala la maana ya utawala wa mtandao, likaorodhesha maswala ya utawala wa mtandao, na kubuni kongamano la utawala wa mtandao {'''Internet Governance Forum (IGF)'''}, kitengo cha washika dau kilichoundwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa {UN Secretary General} – Koffi Annan.

Navigation menu