Mtumiaji:CONRAD NTIBANDEBAGE

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Mimi ni kijana wa Kitanzania. Ninae ishi Pwani ya mashariki ya Tanzania. Wilaya ya Kibiti. Nime hitimu Shahada ya kwanza ya Elimu katika TEHEMA(BEDICT) KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA mwaka 2011_2014) Kwa sasa ni mwajiriwa katika Ofisi ya Rais.. Tamisem.. Idara ya Elimu. Kufundisha Katika shule ya Sekondari ya juu..kibiti Sekondari. Mwalimu wa TEHEMA NA UCHUMI. PIA ni mwana taaluma kwa kuwa nimeshiriki mafunzo ya ziadi na vitendo katika nyanja ya ufundi komputa. Yaani PC maintainance KATIKA CHUO CHA DODOMA.