NIC

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

NIC ni kifupisho cha maneno Network Interface Card. Ni kiongezeo maalum kinachowekwa kwenye kompyuta ili kuiunganisha ipate mtandao wa intaneti. Zipo NIC za waya na zile zisizo na waya na zote hufanya kazi vema kulingana na ubora wake. Usalama ni muhimu kwenye kufunga NIC kwenye kompyuta hivyo mtaalamu ndio inashauriwa afunge na sio mtu yeyote tu.