NomCom

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

NoMCom (The Nominating Committee)
NomCom ni kamati huru iliyo na jukumu la kuwachagua wanachama nane wa bodi ya wakurugenzi na nyadhifa zingenezi ndani ya ngazi ya ICANN kama ilivyopitishwa kwenye sheria ndogo za ICANN ( Tazama Bylaws Article VII, Section 1.)
NomCom huchagua baadhi ya viongozi wa bodi ya ICANN, na vile vile ALAC, jopo la ccNSO na GNSO.