Phishing

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Phishing ni aina ya ulahai wa mtandao ambao unapokea taarifa za mtu binafsi na taarifa nyeti ya akaunti yake ya fedha kama vile maelezo binafsi ya credit kadi na nywila bila ya ruhusa ya mmiliki wa akaunti husika. ulahai na wizi wa taarifa hizo za kifedha na zile binafsi unafanywa kupitia udanganyifu wa email na nakala zisizo halali za website. Brand spoofing na carding huunda phishing.

Historia ya Phishing[edit | edit source]

Phishing scams mwanzoni imenza mnamo mwaka 1990s katika AOL ambayo ni kampuni ya mawasiliano inayohusiana na multinational mass media corporation iliyopo New York nchini Marekani wakati emails zikionekana zikitoka kampuni ya AOL lakini kiuhalisia zilikuwa zikitoka kwa mdukuzi ambaye akiwataka watumiaji kuboresha taarifa zao binafsi na zile za kifedha kupitia email. tatizo kwa wakati ule ilikuwa kwamba AOL iliruhusu ufunguaji wa akaunti zisizo halali kupitia credit kadi generator, lakini baada ya tukio hili la uhalifu yaani phishing AOL ikabadili njia hiyo. Aina hii ya uhalifu (Phishing) umekuwa kwa haraka zaidi kutokana na matumizi ya PayPal, mashirika mengine ikiwemo pia kufanya malipo kupitia mtandao. aina hii ya uhalifu pia umeshajihisha utengnezaji wa programu za computa zilizo salama

MAREJEO[edit | edit source]

icannwiki