Picha:USARAMA WA HABARI KATIKA MFUMO WA MAWASILIANO.pdf

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
USARAMA_WA_HABARI_KATIKA_MFUMO_WA_MAWASILIANO.pdf(file size: 73 KB, MIME type: application/pdf)

USARAMA WA HABARI KATIKA MFUMO WA MAWASILIANO - ni ulinzi wa sayansi ya mfumo wa mawasiliano,na nadharia ya uthibiti wake.

Vipengele 3 muhimu kuzingatiwa ni usiri wa taarifa, uadilifu wa upatikanaji,uwasilishwaji na upokeaji wa taarifa,na kipengele cha mwisho ni upatikanaji wa taarifa wakati wote inapohitajika. kuna vipengele vingine vya ziada kama uthibitisho wa utambulisho wa mtumaji au mpokeaji wa taarifa na hakikisho la mtumiaji kutokanusha kuwa ndiye mtuma taarifa.

ni vyema kufahamu ni namna gani utatofautisha vipengele hivi vya usalama wa habari.

File history

Click on a date/time to view the file as it appeared at that time.

Date/TimeDimensionsUserComment
current19:59, 15 August 2016 (73 KB)Dani mfungo (talk | contribs)USARAMA WA HABARI KATIKA MFUMO WA MAWASILIANO - ni ulinzi wa sayansi ya mfumo wa mawasiliano,na nadharia ya uthibiti wake. Vipengele 3 muhimu kuzingatiwa ni usiri wa taarifa, uadilifu wa upatikanaji,uwasilishwaji na upokeaji wa taarifa,na kipengele ch...
  • You cannot overwrite this file.

There are no pages that link to this file.