RIR

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Regional Internet Registries (RIRs)[edit | edit source]

Kila RIR ni shirika lisilo la kifaida, mwanachama wa NRO ambaye anatawaliwa na na sera zilizo huru na wazi, ambazo zimeundwa na muundo wa chini-juu bottom-up.
Jamii hii kwa upana pia inajumuisha taasisi zinazotoa huduma za mtandao ISPs, Mainjinia wa mtandao, serikali, tume za kudhibiti mawasiliano, taasisi za elimu, na makundi mengine and watu binafsi wenye ari na maswala yanayohusiana na IP na mtandao.

Kila RIR inamiliki hifadhi wazi open database ya wasajili wake wa huduma za mtandao, inayoitwa WHOIS.
Hifadhi huu ya Whois inaorodhesha mashirika yote yanayomiliki rasilimali za mtandao, rasilimali zilikotolewa, anwani zao. Whois ina umuhimu sana kwa wanaoendesha mitandao (network operators) na inatoa huduma muhimu kwa washika dau, pamoja na walinda sheria (law enforcers).

Kufuatia kwamba nambari na rasilimali za mtandao IP ni mali ya umma isiyomilikiwa na yeyote, RIRs hutoza ada ya huduma ya usajili, na usimamizi wa rasilimali hizi, ikijumuisha:


References[edit | edit source]

ICANN