SSAC

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

SSAC (Security and Stability Advisory Committee)
Ni kamati inayoshauri jamii ya ICANN na wanabodi kuhusu maswala ya usalama na hadhi ya mfumo wa mtandao wa majina na anwani (naming and address allocation systems).
Mfano wa maswala haya ni kama vile: usimamamizi unaohusiana na anwani sahihi na utendaji kazi wa mfumo wa majina wa root (root name system), maswala ya utawala (mf. Utoaji wa anwani za mtandao), usajili (mf. Hifadhi ya WHOIS na usajili wake).
SSAC inajihusisha na changamoto zinazozidi kujitokeza kwenye majina ya mtandao, na utoaji wa anwani za mtandao.