Verisign

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

verisign ni mtoa huduma za miundombinu ya mtandao.Ipo Reston,VA na imeanzishwa 1995.Kampuni hii inaofisi zake karibu kila pande za dunia,katika Virginia,California<washington D.C,India,Brazil,Australia,Switzerland na Uingereza.

Usajiri wa huduma zake ni pamoja na uendeshaji wa mamlaka elekezi yakufuata TLDs:

.com .name
.net .jobs
.cc .edu
.tv .gov
Verisign inaendesha server 2 kati ya 13 zilizopo duniani. a.root-servers.net na j.root-servers.net,zinazochukuliwa kama mali za seriakli ya shirikisho ya Marekani.Katika robo ya nne ya mwaka 2015,wastani wa siku wa DNS zilizoulizwa kutoka verisign katika TLDs zote ni karibu bilioni 194,hii inawakilisha ongezeko la kila siku la wastani wa 2.8%,wakati upunguzi kutoka kwenye kilele ni 67%.

Verisign pia inajishughulisha na kutoa huduma za uthibitisho, ambazo ni pamoja na huduma za kujitambulisha kibiashara kama vile kutekeleza kazi za usalama wa mitandao,kutumia itifaki za usalama SSl,na huduma za kutambua udaganyifu na miundombinu muhimu ya umma (PKI)

MAHUSIANO NA ICANN Verisign ilikuwepo kabla ya ICANN,kwahiyo ilianzishwa kama chombo cha usimamizi wa mtandao (internet).Verisign ilikuwepo kama mtambuzi muhimu katika kuasijili masijala wengi wa mtandao hasahas TLDs.ikiwa imetowa uangalizi wa awali katika TLDs, pia inaendelea kusimamia domaina maalufu kama .com na wengine.

udhamini: Verisign ni mmoja katika ya wadhamini wakubwa wa mikutno ya ICANN Utafutaji wa kurasa : Verisign ilizindua huduma yake ya kutafuta kurasamwezi wa tisa 2003,muhimu kwa watumiaji wa mwisho wa mtandao walijaribu kupata anuani za tovuti ambazo hazijasajiliwa.

marejesho[edit | edit source]

1. ICANNWIKI-VERISIGN 2.Business Wire:internet Grows.Retrived 17 jun 2016