WIPO

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

WIPO ( The World Intellectual Property Organization)

ni Kitengo cha umoja wa mataifa (UN) ambacho kinahusika haswa na maswala ya haki miliki kama njia moja ya kukuza ubunifu. [1]
Ni mojawapo wa mashirika 17 muhimu ya Umoja wa Mataifa (UN).
WIPO iliundwa 1967 “kuwezesha ubunifu, na kuendeleza ulindwaji wa haki miliki kote duniani.
WIPO ina mataifa wanachama 188, nainasimamia mikataba 26 ya kimataifa. Makao yake makuu ni Genevea, Uswisi.

Mkurugenzi mkuu wa sasa wa WIPO ni Francis Gurry, ambaye alitwaa uongozi Octoba1, 2008.

Mataifa yasiyo wanachama wa WIPO ni visiwa vya Marshall, Mkusanyiko wa visiwa vya Micronesia, Nauru, Palau, Visiwa vya Solomon, Sudan Kusini, Timor-Mashariki, Palestina na yana hadhi ya utazamaji tu.
  1. ICANN SWAHILI IG GLOSSARY