.biz

From Swahili ICANNWiki
Revision as of 16:04, 12 May 2017 by Winfredanyona (talk | contribs) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '.biz ni kikoa cha kiwango cha jina (top level domain) kimsingi iliyo na lengo kwa ajili ya biashara. Usajili wa .biz inasimamiwa na kuendeshwa na kampuni ya N...')
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

.biz ni kikoa cha kiwango cha jina (top level domain) kimsingi iliyo na lengo kwa ajili ya biashara. Usajili wa .biz inasimamiwa na kuendeshwa na kampuni ya Neustar.

ugani .biz ilisherehekea miaka 10 mwanzo wa 2012. Wakati huo, kulikuwa na zaidi ya watu milioni 2.2 waliojisajili na .biz.

mkataba Neustar ya kuwa kama msajili wa .com uliongezwa kwa miezi sita baada ya muda wake kuisha Desemba 31, 2012. Mkataba inashikiliwa na ICANN, na kupewa upya mwezi wa Agosti 2013.

Reference

Info and Biz Contracts Extended After Expiring, DomainIncite.comP