.dotafrica

From Swahili ICANNWiki
Revision as of 20:00, 16 June 2017 by Julie (talk | contribs) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '.dotafrica ni geoTLD inayotumika katika programu mpya ya ICANN gTLD. Mwombaji ni kampuni ya DotConnectAfrica. Shirika limekuwa likigombea uendeshaji wa usajili...')
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

.dotafrica ni geoTLD inayotumika katika programu mpya ya ICANN gTLD. Mwombaji ni kampuni ya DotConnectAfrica. Shirika limekuwa likigombea uendeshaji wa usajili wa .africa tangu mwaka wa 2006; walitangaza kuwa maombi yao kwa .dotfrica ilikuwa makosa, kutokana na kutoelewana jinsi kamba(string) ilitakiwa kujazwa. Mnamo tarehe 19th mwezi, 2012, ICANN ilitangaza kuwa ilikuwa inatafuta uwezekano wa kuruhusu makampuni ya kurekebisha makosa katika maombi yao.

=Reference[edit | edit source]

The curious and lingering case of .dotafrica, domainnewsafrica.com ICANN may let new TLD applicants modify their applications, domainnamewire.com