DNS

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Domain Name System (DNS) ni mfumo wa majina ya sehemu ambayo hutolewa kutokana na sehemu uliyopo kwa ngazi ya nchi au kutokana na uwezo wa kulipia kwa maana ukitaka kutumia za watu/mashirika binafsi.

Sababu ya kuanzishwa ilikuwa kutafuta njia mbadala ambayo itakuwa rahisi kukumbuka tofauti na tarakimu. Mfumo huu ulianza tangu enzi za ARPANET (Advanced Research Project Networks Agency Network). Katika kitengo cha utafiti cha stanford walitengeneza Hosts. TXT ambalo ni faili lililo oanisha majina ya wamiliki na anuani zao za IP. Wamiliki walipewa nakara harisi ya faili ila kutokana na ukuaji kwa kasi wa mtandao ikatakiwa mfumo ambao utafanya hicho kitu cha kuongeza anuwani na majina.

Uwepo wake pia umerahisisha utendaji wa kiufundi wa huduma za database ambayo ndo shina.[1]

Marejeo[edit | edit source]