Difference between revisions of "Digital security"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Digital security imenisaidia kujua jinsi gani inatakiwa kutengeneza password yake. Password yako inatakiwa kuwa na combination ya Numbers, alphabet,numerical....')
 
(No difference)

Latest revision as of 07:36, 12 July 2018

Digital security imenisaidia kujua jinsi gani inatakiwa kutengeneza password yake. Password yako inatakiwa kuwa na combination ya Numbers, alphabet,numerical. Ili kutengeneza password nzuri inabidi uweze kuunganisha combination of Alphanumeric, na capital letters.Na vile vile unashauriwa kuwa na character kuanzia 12, na 14 na kuendelea.Pia ukiwa na strong password itakusadia kuwa salama katika hifadhi zako za taarifa na data. Vile vile nimejifunza kuhusu Two Identical Factor of Logging.Hii inakuwezesha mtumiaji kujua kama kuna mtu mwingine anayeweka kulogin kwa account yako,na password.Hii ni security nzuri katika kujua nani anaweza kutumia email yak kufanya kitu kibaya kwa jamii.

Pia Digital security inafaa kuelimishwa na jamii na kwa watu hate wa vijijini. Kwasababu inashauriwa mtu mwenyewe ajue taarifa zake.Na sio mtoto wake afanye kwa nib ya mzazi wake.Hivyo basi jamii note inahamasishwa.