Google+

From Swahili ICANNWiki
Revision as of 13:05, 17 August 2016 by Motetekhr (talk | contribs)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Ni mfumo wa kimawasiliano ya mtandao wa kijamii wenye kuvutia sana, ambao humilikiwa na kuendeshwa na Google Inc. Huduma hii ya nne ya Google katika mitandao ya kijamii imepata uzoefu wa kukua kwa nguvu na kasi kubwa katika miaka yake ya awali ingawa nambali ya watumiaji imekuwa ikibadilika mara kwa mara kulingana na jinsi huduma zinavyotafasiliwa. Viongozi wakuu watatu wa Google wameweza kupat akushuhudia mabadiliko makuu katika huduma hii ambapo mabadiliko makubwa yameshuhudiwa toka mwezi wa kumi na moja mwaka 2015. Huduma hii ilizinduliwa rasmi mwezi wa sita mwaka 2011 ikiwa na uwezo wa kutuma picha pamoja na uwezo wa kusahihisha na kubadili hadhi ya mtumiaji/watumiaji wa makundi.

Reference[edit | edit source]

Wikipedia