Difference between revisions of "Habari Node LTD"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
m (Jackie Treiber alihamisha ukurasa wa HABARI NODE LTD hadi Habari Node LTD)
m
 
(4 intermediate revisions by the same user not shown)
Line 1: Line 1:
'''Habari Node Limited''' ni leseni Internet mtoa huduma ya internet mjini Arusha, Tanzania kutoa huduma kiwango mtandao na aina mbalimbali ya ICT msingi ufumbuzi wa ubunifu wa biashara na soko la Tanzania. Habari Node Limited ilianzishwa na Afam (T) Limited na Arusha Node Marie mwaka 2010 na cheti cha kuingizwa idadi 75466. Ni iliundwa kuchukua juu ya shughuli huduma ya internet wa Arusha Node Marie, jamii ambayo imekuwa kazi tangu mwaka 1994.
+
'''Habari Node Limited'''<ref>[http://habari.co.tz/ Habari Node Limited]. Imepatika 3 Oktoba 2017</ref> ni kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma za mtandao na huduma zingine zinazohusiana na teknohama katika soko la Tanzania.
  
Habari Node ajira kwa zaidi ya 50 wafanyakazi wenye vipaji na pia mafunzo na ina kusanyiko juu ya uzoefu wa miaka 15 katika kutoa huduma ya internet. Lengo letu la msingi ni kutoa huduma ya kuaminika kwa bei nafuu, bei za ushindani kuungwa mkono na ari ya daraja la kwanza msaada, kiufundi na wateja. Hii inevitably inaruhusu wateja kufurahia huduma zetu ambazo ni bora kuliko wale zinazotolewa na washindani katika kanda. <ref>[http://HABARI%20NODE%20LTD HABARI NODE LTD. Retrieved 19 Nov 2016.]</ref>
+
Habari Node Limited ilianzishwa mwaka 2010 na muungano wa shirika mbili ambazo ni Afam (T) Limited na Arusha Node Marie chini ya kifungu cha sheria cha mwaka 2002 kinachohusiana na makapuni Tanzania, na cheti cha kuingizwa idadi number 75466. Iliundwa ili kuchukua jukumu la kutoa huduma za mtandao za Arusha Node Marie, shirika la kijamii ambalo lilikuwa likitoa huduma hiyo kutoka mwaka 1994.
  
 +
Habari Node imesajiliwa na Tanzania Communication Regulatory Authority<ref>[https://www.tcra.go.tz/ Tanzania Communication Regulatory Authority]. imepatikana 3 Oktoba 2017</ref>  kama kampuni inayotoa huduma za kiprogramu. Habari pia ni mwanachama wa Tanzania Internet Service Provider (www.tispa.or.tz), na ametoa hifadhi kwa ajili ya Arusha Internet Exchange Point (www.aixp.or.tz).
  
=REFERENCE=
+
== Ujumbe wa Kampuni ==
 +
 
 +
=== Ujumbe wa Bidhaa ===
 +
Kujenga mitandao kwa ajili ya wateja wa mashirika na makazi ya nyumbani, Tanzania kwa kutoa bidhaa za kibunifu, viwango vya juu na thamani kibei, kwa kutoa huduma yenye kuthamini wateja na kuvutia, kuendeleza na kubaki wafanyakazi bora
 +
 
 +
=== Ujumbe wa Kiuchumi ===
 +
Kuendesha kampuni katika msingi endelevu wa fedha na ukuaji wa faida, kuongeza thamani kwa wadau wetu na kupanua nafasi za maendeleo na ukuaji wa kazi kwa wafanyakazi wetu.
 +
 
 +
== '''Maono ya kampuni''' ==
 +
Habari Node Limited itakuwa Kampuni ya Teknolojia iliyojichagua katika utoaji wa huduma za ubora, za bei nafuu, za mtandao na teknolojia nchini Tanzania.
 +
 
 +
== '''Kazi na ICANNWiki''' ==
 +
Habari Node Limited ilifadhili mafunzo ya ICANNWiki swahili edit-a-thon yaliyowezeshwa na Techchix-Tz mnamo mwaka 2016, kwa kutoa huduma ya bure ya mtandao ili kuendesha shughuli hiyo.
 +
 
 +
== Marejeo ==
 +
[http://habari.co.tz/]
 +
 
 +
https://www.tcra.go.tz/

Latest revision as of 13:24, 3 October 2017

Habari Node Limited[1] ni kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma za mtandao na huduma zingine zinazohusiana na teknohama katika soko la Tanzania.

Habari Node Limited ilianzishwa mwaka 2010 na muungano wa shirika mbili ambazo ni Afam (T) Limited na Arusha Node Marie chini ya kifungu cha sheria cha mwaka 2002 kinachohusiana na makapuni Tanzania, na cheti cha kuingizwa idadi number 75466. Iliundwa ili kuchukua jukumu la kutoa huduma za mtandao za Arusha Node Marie, shirika la kijamii ambalo lilikuwa likitoa huduma hiyo kutoka mwaka 1994.

Habari Node imesajiliwa na Tanzania Communication Regulatory Authority[2] kama kampuni inayotoa huduma za kiprogramu. Habari pia ni mwanachama wa Tanzania Internet Service Provider (www.tispa.or.tz), na ametoa hifadhi kwa ajili ya Arusha Internet Exchange Point (www.aixp.or.tz).

Ujumbe wa Kampuni[edit | edit source]

Ujumbe wa Bidhaa[edit | edit source]

Kujenga mitandao kwa ajili ya wateja wa mashirika na makazi ya nyumbani, Tanzania kwa kutoa bidhaa za kibunifu, viwango vya juu na thamani kibei, kwa kutoa huduma yenye kuthamini wateja na kuvutia, kuendeleza na kubaki wafanyakazi bora

Ujumbe wa Kiuchumi[edit | edit source]

Kuendesha kampuni katika msingi endelevu wa fedha na ukuaji wa faida, kuongeza thamani kwa wadau wetu na kupanua nafasi za maendeleo na ukuaji wa kazi kwa wafanyakazi wetu.

Maono ya kampuni[edit | edit source]

Habari Node Limited itakuwa Kampuni ya Teknolojia iliyojichagua katika utoaji wa huduma za ubora, za bei nafuu, za mtandao na teknolojia nchini Tanzania.

Kazi na ICANNWiki[edit | edit source]

Habari Node Limited ilifadhili mafunzo ya ICANNWiki swahili edit-a-thon yaliyowezeshwa na Techchix-Tz mnamo mwaka 2016, kwa kutoa huduma ya bure ya mtandao ili kuendesha shughuli hiyo.

Marejeo[edit | edit source]

[1]

https://www.tcra.go.tz/
  1. Habari Node Limited. Imepatika 3 Oktoba 2017
  2. Tanzania Communication Regulatory Authority. imepatikana 3 Oktoba 2017