Difference between revisions of "Hotmail"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
 
Line 5: Line 5:
 
Pia inatumika kutoa matangazo juu ya matukio, majanga, hali ya hewa, nakadhalika.hii huwawezesha watu kupata habari hizi muhimu kwa urahisi zaidi.
 
Pia inatumika kutoa matangazo juu ya matukio, majanga, hali ya hewa, nakadhalika.hii huwawezesha watu kupata habari hizi muhimu kwa urahisi zaidi.
 
pia inawezesha mawasiliano kupitia barua pepe. watu kutoka pande mbalimbali za dunia huwasiliana kupitia hotmail.
 
pia inawezesha mawasiliano kupitia barua pepe. watu kutoka pande mbalimbali za dunia huwasiliana kupitia hotmail.
 
https://en.wikipedia.org/wiki/Outlook.com
 

Latest revision as of 18:42, 31 July 2017

Hotmail ni moja wapo ya mitandao ya kijamii inayojulikana inayotolewa na microsoft.Iligunduliwa na Sabeer Bhatia na Jack Smith mwaka 1996 katika mjiwa Mountain View California. Microsoft ilipata Hotmail mwaka 1997 kwa makadirio ya $400 milioni na iliadhimishwa kama MSN Hotmail na baadaye ikabadilishwa kuwa kichupo halisi kama sehemu ya kichupo.makao yake makuu yapo Sunnyvale.microsoft ilitoa toleo la mwisho mwaka 2011 mwezi wa kumi.

matumizi ya hotmail: hotmail hutumika kwa ajili ya matangazo mbalimbali,ikiwemo ya biashara. Mtu amaweza kutanza matangazo ya biashara yake kama vile bidhaa anazouza,huduma anazo toa bei ya bidhaa zake au huduma anazotoa pia kutangaza jina la kampuni huduma inayotoa nakadhalika.matangazo hayo humuwezesha kutangaza huduma yake ili kujipatia wateja wengi kwa urahisi na kwa uharaka zaidi. Pia inatumika kutoa matangazo juu ya matukio, majanga, hali ya hewa, nakadhalika.hii huwawezesha watu kupata habari hizi muhimu kwa urahisi zaidi. pia inawezesha mawasiliano kupitia barua pepe. watu kutoka pande mbalimbali za dunia huwasiliana kupitia hotmail.