IAB

Kutoka Swahili ICANNWiki
Pitio kulingana na tarehe 10:32, 19 Septemba 2017 na Nyamhoni (Majadiliano | michango) (Makala hii uelezea kazi ya Bodi ya Ushauri wa Mtandao)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Rukia: urambazaji, tafuta

Mnamo Septemba 1984, baada ya mkutano wa ICCB uliofanyika huko RSRE huko Malvern, Uingereza, ICCB iliondolewa na kubadilishwa na Bodi ya Ushauri wa Mtandao (IAB) Bodi ya Ushauri wa Mtandao hutoa mwongozo wa kiufundi wa muda mrefu kwa ajili ya maendeleo ya mtandao, kuhakikisha mtandao unaendelea kukua na kugeuka kama jukwaa la mawasiliano ya kimataifa na innovation.

https://www.iab.org/[hariri | hariri chanzo]