ICANNWiki

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

ICANNWiki ni shirika la kijamii ambalo limejitolea kusaidia ushirikiano wa jamii ya mtandao unaolenga kubuni makala ya ICANNwiki kuhusu ICANN na mijadala inayaohusiana na utawala wa mtandao.
Wiki inatoa taarifa isiyoegemea upande wowote kwa wale wanaoshiriki mikutano ya ICANN, na jamii ya mtandao kwa jumla. Ni baraza iliyo wazi inayotawaliwa na maadili ya imani nzuri, na ujenzi wa pamoja. Mradi huu uko huru na ICANN, na makao yake ni Portland, Oregon, Marekani.