Internet governce

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Utawala wa intaneti au mtandaoni. Mtandao umekuwa ndio sehemu ya kufanyia shughuli za kila siku katika karne hii ya 21 kwa kila lika la binadamu. Umekuwa ndio daraja la kuvukisha katika maendeleo ya jamii au nchi husika. Mtandao huu ni mzuri sana endapo utamika vizuri na mhusika kwa mfano kwa kukuza uchumi kwakusanya mapato kwa bishara zifanyikazo mtandaoni, kurahisisha ukusanyaji mapato kwa serikali bila upotevu wa fedha, uhakika wakufanya bishara bila kuwepo wizi na pia mbaya endapo utakumika vibaya na muhusika kwa kufnya uharifu. Mtandao kijumla unachukuliwa kama dunia nyingine yenye uitaji wa uakiinifu na pia ni sehemu isiyo shikika bali honekana kwa macho kupitia kurasa mbalimbali kwenye wavuti. Siku zote waswahili usema jamii siyokuwa na sheria ni sawa na mgango aiye kuwa na kirungu au mpira bila refa kana kwamba utakuwa na vurugu. Sheria ni misingi yake ni muhimu sana katika enedashaji wa kila ngazi ya maisha ya kila jamii. Badhi ya misingi hii ni, 1. Usawa katika sheria. 2. Ukweli na uwazi. 3. Uadilifu. 4. Ushikilishaji 5. Haki na usawa. Kuna baadhi ya vitu vinavyo adhiri mambo mbalimbali katika uendeshaji wa jamii ya mtandaoni na hata kufanya uratibu wa mfumo mzima wa mtandaoni kuwa mgumu. Baadhi ya haya mambo ni kama: 1. Rushwa za mtandaoni. 2. Uraghai wa kimtandao. 3. Wizi wa mtandaoni. 4. Umasikini. 5. Kuwoepo kwa utoshelevu mdogo wa haki ya kujieleza. Suruhisho ya matatizo haya huweza kupatikana kutokana na kufwata misingi mbalimbali ya kisheria sera madhubuti ziliyo orodheshwa hapo juu , pia baadhi ya vitu vinavyopaswa vifanywe na wadau, serikari na jamii kwa ujumla ili kurahisha utawala wa mtandao. Baadhi ya hayo mambo ni kama ya fuatayo: 1. Uundwaji wa sera mpya au kufanya marekebisho sera zilizopo. 2. Kufanya marekebisho ya sheria zinazotumika kudhibiti mitandao kiujumla. 3. Kuhamasiiha jamii kutumia mitandao vizuri na vilivyo katika kuleta mabadiliko chanya kupitia mtandao. 4. Kuhusiha wadau katika sekta ya mawasiliano kiukamilifu kwenye michakatombalimnali ya kutengeza sera na sheria mpya zitakazo waadhili wao mojamoja. NB: Utawala wa mitandaoni siku zote uanza na mtu binafis kisha ufata jamii nzima au serikali kupitia sneria mabali mbali za nchi kama the “Cybercrimes Act, 2015”, “Electronic Transactions Act, 2015”, “Electronic and Postal communications Act, 2010”, “Tanzania Regulatory Communication Authority Act, 2003”, etc.