Kosa, kushindwa na hatari ya mambo ya teknolojia

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Kosa, kushindwa na hatari ya mambo ya teknolojia (errors, failures and risks of the tecknology) makosa ya mtandao na kushindwa kufanya kazi kwa mtandao ni mambo ambayo yanaleta hatari kubwa kwenye jamii ya sasa, kutolea mfano mzuri wa hii ni pale ambapo ndege ambayo imesetiwa ijiendeshe yenyewe (autopilot) pale inapotokea tatizo inaweza kusababisha madhara makubwa katika jamii, kipimo cha ni jinsi gani hilo tatizo lililotokea kwenye mtandao ni kubwa au la, ni pale tunapoangalia ni jinsi gani hilo tatizo limeleta madhara katika jamii. hakuna kipimo halisi cha madhara japo madhara yanatokea kila siku katika maisha. kuna baadhi ya sababu zinazofanya hiyo mitandao ikosewe au ishindwe kufanya kazi kwa ufasaha, baadhi ya hizo sababu ni haziepukiki lakini kuna nyingine zingeweza kepukika ila kwa kutokujua au kwa uzembe wa watu wachache ikasababisha madhara makubwa kwenye jamii. kubwa la kuwashauri watu wanaohusika na kutengeneza mambo ya mitandao ni kwamba wasichukulie mambo rahisi na wajitahidi sana kwenye kuhakikisha kua hata kama madhara yanatokea basi yawe kwa kiasi kidogo zaidi kwa kua makini zaidi.


imetolewa na Zuhura Msisi[edit | edit source]