Editing MARY UDUMA

Jump to: navigation, search

Warning: You are not logged in. Your IP address will be publicly visible if you make any edits. If you log in or create an account, your edits will be attributed to your username, along with other benefits.

The edit can be undone. Please check the comparison below to verify that this is what you want to do, and then save the changes below to finish undoing the edit.
Latest revision Your text
Line 1: Line 1:
 
Mary Uduma kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa Jaeno Digital solutions. kabla ya hapa, alitumikia cheo cha urahisi wa bodi ya utendaji wa Nigeria Internet Registration Association(NiRA),ambapo alipata cheo cha urahisi mnamo mwezi wa tisa 2010, baada ya kutumikia cheo cha makamu wa rahisi tangu 2009.
 
Mary Uduma kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa Jaeno Digital solutions. kabla ya hapa, alitumikia cheo cha urahisi wa bodi ya utendaji wa Nigeria Internet Registration Association(NiRA),ambapo alipata cheo cha urahisi mnamo mwezi wa tisa 2010, baada ya kutumikia cheo cha makamu wa rahisi tangu 2009.
Pia aliwahi kuwa mmoja wa wanachama wa bodi ya muda mfupi ya wadhamini ya NiRA, na pia kama mkurugenzi wa ofisi ya masuala ya walaji pamoja na Nigerian Communications Commission,ambalo ni shirika la udhibiti wa telecom Nigeria. Amefanya kazi katika ofisi ya mamlaka ya udhibiti kwa zaidi ya miaka 16 na pia ni mhasibu mwenye ujuzi. Kipindi chake akiwa NiRA, Uduma alikua anjihusisha na kanuni za mawasiliano ya simu. Aliishauri tume juu ya masuala yanayohusiana na leseni,sera na ushindani wa soko la mawasiliano ya simu, kanuni za ushuru na vibali. Pia aliwahakikishia walaji kufuata na kusimamia kanuni za matumizi ya masuala ya mazoezi. Na kazi yake pia ilitazama juu ya utaratibu wa kanda, kupanga mipango na utafiti.pia alikua mtu wa cheo cha juu katika uhusiano wa kimataifa katika mashirika ya ITU, ICANN, CTO, AUC, ECOWAS,n.k. Pia ni mwanachama wa WSIS.<ref>[https://icannwiki.org/images/4/48/ICANN59_-_Johannesburg_Booklet_DIGITAL.pdf Mothers of the internet.] 30th june 2017.</ref>
+
Pia aliwahi kuwa mmoja wa wanachama wa bodi ya muda mfupi ya wadhamini ya NiRA, na pia kama mkurugenzi wa ofisi ya masuala ya walaji pamoja na Nigerian Communications Commission,ambalo ni shirika la udhibiti wa telecom Nigeria. Amefanya kazi katika ofisi ya mamlaka ya udhibiti kwa zaidi ya miaka 16 na pia ni mhasibu mwenye ujuzi. Kipindi chake akiwa NiRA, Uduma alikua anjihusisha na kanuni za mawasiliano ya simu. Aliishauri tume juu ya masuala yanayohusiana na leseni,sera na ushindani wa soko la mawasiliano ya simu, kanuni za ushuru na vibali. Pia aliwahakikishia walaji kufuata na kusimamia kanuni za matumizi ya masuala ya mazoezi. Na kazi yake pia ilitazama juu ya utaratibu wa kanda, kupanga mipango na utafiti.pia alikua mtu wa cheo cha juu katika uhusiano wa kimataifa katika mashirika ya ITU, ICANN, CTO, AUC, ECOWAS,n.k. Pia ni mwanachama wa WSIS.
 
 
== References ==
 

Please note that all contributions to Swahili ICANNWiki may be edited, altered, or removed by other contributors. If you do not want your writing to be edited mercilessly, then do not submit it here.
You are also promising us that you wrote this yourself, or copied it from a public domain or similar free resource (see Project:Hakimiliki for details). Do not submit copyrighted work without permission!

Cancel | Editing help (opens in new window)