Difference between revisions of "MOTHER OF THE INTERNET"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' mara nyingi Kiwango dhaifu cha picha zetu za waanzilishi wa kwanza na wa sasa wa Intaneti huishi kwa wale tunaoamini kuwa ni madereva wakuu wa mtandao. maranyi...')
 
m
 
(One intermediate revision by the same user not shown)
Line 1: Line 1:
  
mara nyingi Kiwango dhaifu cha picha zetu za waanzilishi wa kwanza na wa sasa wa Intaneti huishi kwa wale tunaoamini kuwa ni madereva wakuu wa mtandao. maranyingi tunarudi kutazama nyuso za kawaida,"baba" na "walezi wa kiume", kwaajili ya thamani na umuhimu wa rasilimali hii ,lakini tukiangalia kwa ukaribu zaidi tunaona kwamba ukuaji wa intaneti umechangia kutoka kwa wanawake na wanaume kufanana/kua kwenye usawa, na kuzunguka dunia nzima, sio tu kwa umoja wa nchi za marekani pekee.
+
Mara nyingi Kiwango dhaifu cha picha zetu za waanzilishi wa kwanza na wa sasa wa Intaneti huishi kwa wale tunaoamini kuwa ni madereva wakuu wa mtandao. maranyingi tunarudi kutazama nyuso za kawaida,"baba" na "walezi wa kiume", kwaajili ya thamani na umuhimu wa rasilimali hii ,lakini tukiangalia kwa ukaribu zaidi tunaona kwamba ukuaji wa intaneti umechangia kutoka kwa wanawake na wanaume kufanana/kua kwenye usawa, na kuzunguka dunia nzima, sio tu kwa umoja wa nchi za marekani pekee.
Makala hii inaonyesha nyuso, maneno na roho za wanawake Ambao wamekuwa msingi kwa maendeleo ya mtandao Afrika. Uzoefu wao unatokana na utekelezaji wa sheria, sera na mikono juu ya uhandisi, na maendeleo ya ICT, lakini kinachoaminika kwa wote ni jinsi gani michango yao imekua na bado inaendelea kua katika maisha yetu ya intaneti.
+
Makala hii inaonyesha nyuso, maneno na roho za wanawake Ambao wamekuwa msingi kwa maendeleo ya mtandao Afrika. Uzoefu wao unatokana na utekelezaji wa sheria, sera na mikono juu ya uhandisi, na maendeleo ya ICT, lakini kinachoaminika kwa wote ni jinsi gani michango yao imekua na bado inaendelea kua katika maisha yetu ya intaneti. <ref>[https://icannwiki.org/images/4/48/ICANN59_-_Johannesburg_Booklet_DIGITAL.pdf ICANNWiki Mothers of the Internet]. Retrieved 30 Jun 2017.</ref>
  
 
==Reference==
 
==Reference==

Latest revision as of 10:12, 30 June 2017

Mara nyingi Kiwango dhaifu cha picha zetu za waanzilishi wa kwanza na wa sasa wa Intaneti huishi kwa wale tunaoamini kuwa ni madereva wakuu wa mtandao. maranyingi tunarudi kutazama nyuso za kawaida,"baba" na "walezi wa kiume", kwaajili ya thamani na umuhimu wa rasilimali hii ,lakini tukiangalia kwa ukaribu zaidi tunaona kwamba ukuaji wa intaneti umechangia kutoka kwa wanawake na wanaume kufanana/kua kwenye usawa, na kuzunguka dunia nzima, sio tu kwa umoja wa nchi za marekani pekee. Makala hii inaonyesha nyuso, maneno na roho za wanawake Ambao wamekuwa msingi kwa maendeleo ya mtandao Afrika. Uzoefu wao unatokana na utekelezaji wa sheria, sera na mikono juu ya uhandisi, na maendeleo ya ICT, lakini kinachoaminika kwa wote ni jinsi gani michango yao imekua na bado inaendelea kua katika maisha yetu ya intaneti. [1]

Reference[edit | edit source]

  1. ICANNWiki Mothers of the Internet. Retrieved 30 Jun 2017.